Facebook

Monday, 16 June 2014

Diva ashambuliwa Instagram baada ya ku-edit picha zake akionekana na makalio makubwa

Katika Hali isiyo ya kawaida kuna baadhi ya watu ama Vikundi Instagram wameanza kumchimba Diva Loveness Baada ya Kujitoa Team Wema, Sasa leo wamekuja na Mpya na Kusema kuwa Diva anajiongezea makalio kwenye picha zake kwa kutumia Photoshop, na Wameenda mbali zaidi na kutoa ushahidi wa baadhi ya Picha jionee mwenyewe hapo chini na Ujudge mwenyewe kama ni kweli ama la kwa kuziangalia hizo Picha:


Angalia hiyo Kabati ya Viatu Ilivyopinda pinda

Angalia Ukuta na Frame ya Mlango ilivyopata Dhahama

Angalia Kiti hapo nyuma na Juu ukuta kwenye rangi ya blue ukuta umeyumba na tako
Wataalamu Kazi Kwenu kutuambia kama ni kweli ama wanamsingizia ..
Khaa Ustaa Kazi Kweli Kweli
 
Tumehamia katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com

 

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment