Facebook

Monday, 18 August 2014

ALICHOKISEMA ANCELOTI KUHUSU UHAMISHO WA DI MARIA

Kutokana na tetesi mbalimbali zinazomhusu winga hatari Angel Di Maria kuhamia katika klabu ya Manchester United inayomuhitaji kwa udi na uvumba.
Meneja wa Real Madrid aliamua kuvunja ukimya na kusema haya "Sitaki kuliingilia
suala la Di Maria, kwa sababu litanipotezea
umakini wangu kuelekea mchezo dhidi ya Atletico.
Sijui mpaka sasa ameamua nini kuhusu hatma
yake, ninachofahamu yupo tayari kucheza, na
mpaka kufikia August 31 anaweza kuendela
kuwa hapa. Ikiwa mpaka wakati huo wa
dirisha la usajili litakapofungwa - akiendelea
kuwa hapa au asipokuwepo, tutalifikiria suala
hilo baadae."

Endelea kutembelea www.bantutz.com....Mtaarifu mwenzako mwambie tumerudi tena katika muonekano bora zaidi.

Related Posts:

  • UCHAMBUZI:FA-CUP FAINALI ASTON VILLA vs ARSENAL   Haya sasa naona mapazia ya vikombe yanafungwa rasmi siku ya leo pale Uingereza ndani dimba la Wembley      FA ndilo kombe la kwanza kuanzishwa kwenye medani ya soka 1871 kombe ambalo hushirik… Read More
  • Arsenal bingwa Kombe la FA.Timu ya Arsenal imeshinda tena kombe la FA baada ya kuwaburuza Aston Villa 4 - 0 katika dimba la Wembley 1 - 0 Theo Walcott aliwapa uongozi Arsenal kwa goli la dakika ya 40 kipindi cha kwanza. 2 - 0 Alexis Sanchez akafunga go… Read More
  • Chelsea yatakata mechi za maandalizi ya msimu.Timu ya Chelsea imeshinda mchezo wa kirafiki 1 - 0 dhidi ya Thailand katika maandalizi ya msimu ujao huko Bangkok. Kinda wa miaka 17 kutoka timu B ya Chelsea Dominic Solanke aliwapa Blues uongozi wa mechi hiyo baada ya kupa… Read More
  • Barcelona bingwa Copa Del Rey. Timu ya Barcelona imeifunga Athletic Bilbao magoli 3 - 1 katika fainali ya Copa del Rey iliyochezwa usiku wa jana katika dimba la Nou Camp. 1 - 0 Lionel Messi alifunga goli la mapema dakika ya 20 kwa kuwapita mabeki wanne… Read More
  • Sir Alex Ferguson amtabiria makubwa meneja wa Chelsea Jose Mourinho. Kocha Jose Mourinho ametajwa wiki iliyopita kuwa kocha bora wa msimu wa Barclays. Bosi huyo wa Chelsea hakuwepo kupokea tuzo yake usiku wa jana Jumanne.Lakini haikufanya Bosi wa zamani wa United kumpongeza. Mourinho alihud… Read More

0 comments:

Post a Comment