Koo mbili za Wanyazaga na Wambukwa Mnyambwa wakiwa
wamekusanyika kukizunguka kisima kinachosemekana kimejaa maajabu cha Bwibwi kilichopo Katika kijiji cha Iyumbu kilichopo pembezoni mwa Chuo kikuu cha Dodoma [UDOM]
Baadhi ya wananchi wakifurahia kutumia maji yanayopatikana kisima cha Bwibwi kilichopo katika kijiji cha iyumbu Manispaa ya Dodoma, kisima hicho kilichovumbuliwa katikati ya miaka 1,800 kiko katika hatihati ya kufukiwa na eneo hilo lituumike kwa matumizi mengine. Mkuu wa kimila wa kabila la kigogo Lazaro Chihoma akinywa maji yaliyochotwa kisima cha Bwibwi kilichopo Kijiji cha Iyubu Manispaa ya Dodoma, Kisima hicho kinachoaminika ni cha maajabu na mtu anayetumia maji yake hupata Mafanikio ya kiafya na kimaisha:
Hatimaye michepuo ya Elimu Tanzania kufanyiwa MarekebishoElimu ya sekondari katika ngazi ya Kidato cha
Kwanza hadi cha Nne imekuwa ikiongozwa na
michepuo ya ama ya Sanaa, Sayansi, Ufundi na
Biashara. Halika dhalika, masomo ya sekondari
Kidato cha Tano na Sita yamekuwa y…Read More
Mtanzania ateuliwa kuwa makamu mkuu wa Rais wa BET Networks.
BET Networks, ambayo ipo chini ya kampuni ya Viacom Inc. imetangaza kumwajiri Kay Madati kama makamu mkuu wa rais (Executive Vice President) na pia kama Chief Digital Officer.
Madati, raia wa Tanzania aliyeishi katik…Read More
Mkazi mmoja wa ajitundika na kujinyonga Ilemela-Mwanza.Mwanaume mmoja mkazi wa
Kiseke, Ilemela jijini Mwanza
amekutwa amekufa baada ya
kujinyonga kwa kamba juu ya mti
huku mwili wake ukiwa
umeharibika vibaya na kuvuja
maji….
Inakadiriwa kuwa mtu …Read More
0 comments:
Post a Comment