Maajabu ya dunia, tazama picha za kiumbe kinachoaminika kutoka sayari nyingine. Kiumbe hicho kina urefu wa nchi sita(6) na kina umbo kama la binadamu. Kitazame hapa.
Uhuru wa mtandao kudhibitiwa
Rais Barack Obama
ametoa wito wa kuwekwa sheria kali za kudhibti matumizi ya mitandao
huku waziri mkuu wa Uingereza David Cameroon, akitoa ombi kwa mitandao
kama ile ya Facebook na Twitter pamoja na kampuni za usala…Read More
TANZANIA NA UKOSEFU WA AKILI
! Nilikuwa najisumbua kufikri kwanini
nchi nyingi za kiafrika ni maskini nikajikuta napata jibu moja kwamba
tawala nyingi za kiafirika hazina Akili.
Hazina akili ya kutambua umuhimu wa nidhamu katika kuen…Read More
Apple yavunja rekodi kwa uuzaji wa vifaa vyake duniani.
Kampuni ya kutengeza vifaa vya
elektroniki, Apple, imetangaza kupata faida ya dola bilioni 18.8 katika
kipindi cha miezi minne ya mwisho mwaka jana , na kuifanya kuwa kampuni
ya umma iliyopata faida kubwa zaidi duniani.
A…Read More
0 comments:
Post a Comment