Dawa za Diclopa na Diclofenac
zadaiwa kuwa ni hatari kwa matumizi
ya binadamu. Imegundulika Vidonge hivyo
husababisha kansa ya Ini na
Ubongo,Ugonjwa wa moyo, Kiharusi,
Vidonda vya Tumbo au kifo cha
ghafla. Kwaiyo ndugu zangu tuwe
makini juu ya matumizi ya dawa hizi.
Tafadhari umalizapo kusoma ujumbe
huu, ebu share kwa ndugu jamaa na
marafiki zako ili nawao wawe
updated.
Mwanamke afanya mapenzi na samaki aina ya Dolphin
Unaweza kushangaa na kuona ni kitu cha ajabu lakini hii imetokea
ambapo mwanamke ambaye alifanya mapenzi na samaki aina ya Dolphin ikiwa
ni sehemu ya utafiti wa kisayansi amezungumza kwa mara ya kwanza juu ya
hatua hiyo.…Read More
Funza chakula kipya cha mifugo
Nzi wanafugwa kwa ajili ya kupata Funza wanaotumika kama chakula cha mifugo
Je unaweza kula nyama ya mifugo
waliolishwa Funza? Kufuga Ngu…Read More
Mwanamke ajifungua mtoto mwenye kichwa cha nyani.
Ni dunia ya maajabu yasiyoisha, matukio ya kushangaza kila kukicha. Na hili ni tukio jingine.
Nchini Nigeria kuna taarifa kuwa mwanamke mmoja amejifungua mtoto
baada ya kutunza ujauzito kwa miezi tisa lakini cha kusik…Read More
Kumbe mazoezi hutibu saratani
Mwanamke akichunguzwa iwapo ana saratani ya matiti hospitalini.
Mazoezi yanaweza kusaidia kupona
baada ya kuugua saratani ya matiti lakini ni wanawake wachache sana
wanashirik…Read More
Paka mzee zaidi duniani afariki.!
Paka aliyekuwa akitambulika rasmi kuwa ndio mzee zaidi duniani kwa sasa, amefariki dunia akiwa na miaka 24. Paka huyo aitwaye Poppy alizaliwa mwezi Februari mwaka 1990, mwezi ambao Nelson Mandela alitoka gerezani-, na al…Read More
0 comments:
Post a Comment