Facebook

  • Tutorial 1

    This is Trial

  • Tutorial 2

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • Tutorial 3

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Saturday, 27 September 2014

RATIBA YA MECHI LIGI KUU YA UINGEREZA .

BantuTz SPORTS RATIBA YA MECHI LIGI KUU YA UINGEREZA LEO HII 14:45 Liverpool vs Everton 17:00 Chelsea vs Aston Villa 17:00 Crystal Palace vs Leicester City 17:00 Hull City vs Manchester City 17:00 Manchester United vs West Ham United 17:00 Southampton vs Queens Park Rangers 17:00 Sunderland vs...

Friday, 26 September 2014

Mchinjaji wa kundi la Islamic State abainika.

Mkurugenzi mkuu wa FBI James Comey amesema kitengo chake kimemtambua mtu ambaye huficha sura yake ambaye ni muuaji,ambaye pia huoneshwa wakati akiwachinja mateka watatu kwenye video inayo nadi wanamgambo wa dola ya kiislam IS. Pamoja na hayo Bwana Comey amegoma kuutaja uraia wa mtu huyo ama hata kutaja jina...

Inakisiwa kuwa zaidi ya raia 3000 kutoka Ulaya ni wafuasi wa Islamic State

Idadi ya raiya kutoka Uropa wanaojiunga na kundi la wapiganaji wa Kiislamu nchini Syria na Iraqi imeongezeka hadi zaidi ya 3,000 kulingana na mkuu wa kitengo cha kupambana na ugaidi bara la ulaya. Gilles de Kerchove ameonya kuwa mashambulizi ya hewa yanayofanywa na nchi za Magharibi yataongezea hatari...

Thursday, 25 September 2014

Lifahamu Eneo la "kafara" Bermuda Triange

Bermuda triangle ni eneo katika uso wa Dunia ambalo linahusishwa na masuala mbalimbali ya nguvu za maajabu, ni eneo ambalo maelfu ya watu wamepoteza maisha, ndege na meli nyingi sana zimezama katika eneo hilo pasipo kujulikana zinaelekea wapi. Wanasayansi wengi wamepoteza pesa zao pasipo kutoa...

Magaidi wa Algeria wamchinja mtalii kutoka Ufaransa kuiunga mkono ISIS

Kundi la kigaidi la Jund al-Khilifa limemuua kwa kumchinja mtalii wa Ufaransa ikiwa ni sehemu ya ahadi yao kwa nchi hiyo ikiwa haitasitisha mashambulizi dhidi ya kundi la ISIS nchini Iraq. Jumapili iliyopita, kundi hilo liliweka YouTube video inayoonesha wapiganaji walijifunga kitambaa usoni wakimfanyia...

Mwanzilishi wa kampuni ya 'Apple' aliwazuia watoto wake kutumia iPad, iPhone na iPod, fahamu sababu

Bidhaa za kampuni ya Apple zina mashabiki na wateja wengi duniani, hii inathibitishwa na foleni kubwa ya watu waliojitokeza kwenye vituo mbalimbali duniani kununua toleo jipya la iPhone6. Tumesikia watu wakiachana ama familia zikitengana kwa sababu tu baba ameshindwa kununua bidhaa za kielekroniki za...

Wednesday, 24 September 2014

Mmiliki wa Kampuni ya ALIBABA ndiye anaeongoza kwa utajiri nchini China.

Mwanzilishi wa mtandao wa Alibaba ndiye tajiri mkubwa zaidi nchini Uchina kulingana na rekodi za kampuni yake. Hili imethibitishwa na ripoti rasmi ya kifedha ya Hurun. Bw.Ma ameongoza orodha ya watu tajiri zaidi nchini Uchina kwa mali ya takriban dola bilioni 25 akifuatwa na mwenyekiti wa Wanda Group Wang...

Tuesday, 23 September 2014

Kiumbe cha ajabu kutoka baharini chaonekana Pemba.

Taarifa zilizotufikia BantuTz hivi punde kutoka huko Pemba ni kwamba; Wananchi wa Kengeja Likoni,Kisiwani Pemba wameshuhudia kiumbe kikubwa na cha ajabu kilichotoka Baharini na kuja hadi nchi kavu kikiwa kinaelea baada ya kufariki. Watu wengi wa Kengeja ambao wanajishughulisha na uvuvi wanasema kwamba...

Marekani imeanza mashambulizi ya anga dhidi ya kundi la ISIS huko Syria.

Marekani imepanua operesheni yake dhidi ya kundi la Dola la Kiislamu nchini Syria, ikisaidiwa na mataifa matano ya Kiarabu - Bahrain, Qatar, Saudi Arabia, Jordan na Umoja wa Falme za Kiarabu. Shirika la uangalizi wa haki za binaadamu nchini Syria lenye makao yake mjini London limesema mashambulizi hayo...

Monday, 22 September 2014

Baraza laamuru mwili wa marehemu ufukuliwe Arusha.

Baraza la ardhi na nyumba mkoani Arusha limeamuru mwili wa marehemu Paulina Lucas aliyezikwa katika eneo la mgogoro wa shamba katika kijiji cha Elkiushin ufukuliwe mara moja na kisha ukazikwe kwenye makaburi ya umma . Amri hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki iliyopita na mwenyekiti wa baraza hilo mkoani...

Producer Man Walter afunga ndoa,huyu ndiye mkewe.

Producer kutoka Combination Sound anaefanya vizuri nchini, Man Walter amepiga hatua kubwa katika maisha yake baada ya kufunga ndoa na mrembo ambaye alidaiwa kumuimbia wimbo wa ‘Wife Material’. ...

Wimbo ''Happy'' wa Pharrel Williams wasababisha matatizo makubwa Iran.

Kikundi cha mashabiki wa muziki nchini Iran walioiga wimbo maarufu wa mwanamuziki maarufu wa Marekani Pharrell Williams, 'Happy' wamejipata matatni baada ya kukamatwa na polisi. Kanda ya video waliyoirekodi wakiiga wimbo huo, inaonyesha vijana watatu na wanawake kadhaa ambao hawakuwa wamejitanda mitandoa,...

Mourinho amponda Lampard.

Mouringo akimuongelea Lampard baada ya kufunga bao lililopelekea matokeo dhidi ya City kua 1-1. 'Alipoamua kujiunga na wapinzani wetu tunaochuana nao kuwania ubingwa, hadithi za mapenzi zikaisha. Amefanya kazi yake (kufunga) kama mwana taaluma. Chelsea hatukumpa mkataba na yeye akajiunga na klabu ya...

Sunday, 21 September 2014

Clash of the Titans...Chelsea Vs Manchester City

Usithubutu kunywa uji wa mgonjwa...Wala mtoto hatotumwa dukani majira ya saa 12:00 Jion kwa masaa ya Afrika Mashariki mtanange kati ya Vijana wa Darajani,The Blues almaarufu kama Chelsea watakapopambana na The Citizen,Manchester City katika dimba la Etihad katika Jiji la Manchester. Kwa teknolojia ya...

Moto wateketeza nyumba 21, Tufani yaezua 11, 240 wakosa makazi Sengerema

Wakazi 240 wanaoishi kisiwa cha Nyamango kijiji cha Lushamba kata ya Buliaheke Wilayani Sengerema hawana makazi ya kuishi kutokana na kuzuka kwa moto usiku wa septemba 19 na mvua iliyombana na tufani mapema asubuhi ya jana(leo). Mkuu wa Wilaya Sengerema Elianas Balangyo alisema kuwa kamati ya maafa...

Saturday, 20 September 2014

Yanga yaanza kwa Kipigo,Azam yaangua Kicheko Ligi Kuu Tanzania Bara.

Dar es Salaam Young Africans imeianza ligi kuu kwa kichapo baada ya kufungwa 2-0 na Mtibwa Sugar katika mchezo uliofanyika uwanja wa Jamhuri. Magoli ya Mtibwa yalifungwa na Musa Hassan Mgosi katika dakika ya 16 baada ya kupokea pasi nzuri ya Ame Ali huku bao la pili likifungwa dakika ya 82 naye mpikaji...

Hoteli iliyojengwa katikati ya Maji huko SpitBank Fort-Uingereza miaka 134 iliyopita.

HOTELI ya Spitbank Fort ikionekana kwa juu ikiwa imejengwa mwaka  1879 katikati ya kina maji ya habari nchini Uingereza  ikiwa na umri wa miaka 134. Hapa ikionekana katikati ya kina cha maji ya bahari.  Sehemu ya mbela ya hoteli hiyo.  Ndani  Sehemu...

Viwanja vya ndege vilivyo "busy" zaidi duniani.

Wakati nchi kama Tanzania inapambana kujenga viwanja vya ndege ili ndege kubwa kama za Fastjet ziweze kutua sehemu kama Musoma, Kigoma na Arusha baada ya kuweza kufanya safari zake kwenye mikoa ya Kilimanjaro, Mbeya, Dar na Mwanza, ifuatayo ni list ya viwanja vya ndege duniani ambayo hutoka...