Facebook

Thursday 11 September 2014

iPhone 6 Plus yatengenezwa kwa ajili ya Mashabiki wa Manchester United.

Mashabiki ulimwenguni wamesema simu
mpya aina ya iPhone 6 Plus imetolewa
maalum kwa ajili ya mashabiki wa
Manchester United ambayo kwenye simu
ya kawaida haionekani kwa urahisi kwenye
msimamo wa ligi kuu ya England lakini
kupitia Iphone 6 timu hiyo inaoekana
kwenye msimamo ambapo mashetani hao
wekundu wanashikilia nafasi ya 14.

Mashabiki wa United watalazimika
kununua toleo mpya la simu za Iphone
ili wapate fursa ya kuiona timu yao kwa
haraka kwenye msimamo wa Premier
League ambapo wale wenye iPhone 5s
iPhone 6 hawana fursa hiyo.
Ukubwa wa screen iPhone 6 Plus
unaonesha kwa urahisi timu 14, ikiwemo
Manchester United.

iPhone 6 plus itazinduliwa September 19
itaanza kuuzwa kwa paundi 789 simu hiyo
inaukubwa wa GB 128.

0 comments:

Post a Comment