Facebook

Sunday 14 September 2014

Yanga vs Azam

Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara
linafunguliwa leo kwa mchezo wa Ngao ya
Jamii kwa wakali wa Jangwani Yanga SC
kucheza na timu ya Azam FC, Uwanja wa
Taifa kuanzia majira ya saa 10:00 jioni kwa
saa za Afrika Mashariki.

0 comments:

Post a Comment