Facebook

Tuesday 9 September 2014

Lori laacha njia kutumbukia mtaroni,wawili wafariki papo hapo Sekenke-Singida.

Taarifa tulioipata BantuTz hivi Punde ni kwamba;

Huko mkoani Singida,eneo la Sekenke lori kubwa la mizigo lilokuwa linatokea Jijini Mwanza kuelekea jijini Dar Es Salaam limeacha njia na kutumbukia shimoni.

Watu wawili walifariki papo hapo huku kikosi cha usalama barabarani kikiwa kimeshafika eneo hilo.

Endelea kutembelea www.bantutz.com kupata taarifa za matukio mbalimbali kutoka katika kila kona ya dunia.

0 comments:

Post a Comment