Facebook

Saturday, 20 September 2014

Viwanja vya ndege vilivyo "busy" zaidi duniani.

ATL 3Wakati nchi kama Tanzania inapambana kujenga viwanja vya ndege ili ndege kubwa kama za Fastjet ziweze kutua sehemu kama Musoma, Kigoma na Arusha baada ya kuweza kufanya safari zake kwenye mikoa ya Kilimanjaro, Mbeya, Dar na Mwanza, ifuatayo ni list ya viwanja vya ndege duniani ambayo hutoka kila mwaka.
Kiwanja kilichoshika namba moja kwa kuwa busy kuliko vyote duniani ni kiwanja cha Atlanta Georgia Marekani wanakotoka mastaa kama rapper T.I ambacho kwa mwaka 2013 pekee kimehudumia abiria milioni 94.4, namba mbili inashikwa na Beijing Capital International Airport ambacho kilihudumia abiria milioni 83.7
Beijing
Beijing
London Heathrow
London Heathrow
Kiwanja namba 3 ni cha London Heathrow Airport kilichobakia kwenye nafasi hiihii ya mwaka jana ambapo kimehudumia abiria milioni 72.4 huku kiwanja cha Tokyo Japan (Haneda) kikishika namba 4, cha tano ni Chicago O’Hare International Airport nchini Marekani na cha sita ni Los Angeles International Airport hukohuko Marekani.
Screen Shot 2014-09-18 at 11.42.01 AM
Kiwanja cha ndege Tokyo (Haneda)
Tokyo
Tokyo
Kiwanja cha ndege Chicago Marekani
Kiwanja cha ndege Chicago Marekani
Kiwanja cha ndege Dubai kimeshika namba 7 kutoka namba 10 mwaka uliopita ambapo kimehudumia abiria milioni 66.4 ambapo kiwanja cha ndege cha Paris kimeshuka nafasi moja kutoka ya 7 mwaka uliopita na kushika ya nane mwaka huu, ya tisa imeshikwa na kiwanja cha ndege cha Dallas/Fort na namba 10 imeshikwa na kiwanja cha Jakarta Indonesia.
Los Angeles
Los Angeles
Hii ripoti imefanywa kwa kuhusisha viwanja vya ndege karibu 2000 ndani ya nchi 160 duniani ambapo kwenye mistari ya ziada, kiwanja cha ndege cha Hong Kong kimebaki kushika namba moja kwa kusafirisha sana mizigo duniani ambapo mwaka jana kilisafirisha karibu tani milioni 4.2

Related Posts:

  • Use any SIM CARD in any MODEM without unlocking it   Ni shida sana watu wanakuwa nayo kila mtu anataka Ku-unlock Modem yake ili aweze kuitumia laini tofauti na mtandao mmoja husika wa hiyo modem,. Sasa leo wanacomplex tunawekana sawa hapa jinsi ya kutumi… Read More
  • 100's SAMSUNG SECRET CODES   Kwa wale wanaotumia simu za Android basi hizi hapa ni codes ambazo unaweza kuweka na kuona maajabu! * Software version: *#9999# * IMEI number: *#06# * Serial number: *#0001# * Battery status- Memory capacity : … Read More
  • Things to look out before buying New Laptop   Nimekuwa nikiulizwa sana na wadau kuhusu hii kitu kuwa nataka kununua laptop na sijui iliyokuwa bora ikoje sasa nikaona kuliko kujibu mtu mmoja mmoja ni bora nikatoa jibu moja hapa ili kila mtu na muda … Read More
  • Zitambue simu fake na Original SAMSUNG GALAXY S3 Mambo vipi wadau, naamini tuko salama sote. Leo ningependa kushare nanyi kitu ambacho kimezoeleka sana kuwanacho kwenye mikono yetu lakini kuna kipindi ukikihitaji kile kilicho bora lazima utaikumbuka hii POST.… Read More
  • IP ADDRESS FULL KNOWLEDGE   An IP address is an identifier for a computer or device on a TCP/IP network. Networks using the TCP/IP protocol route messages based on the IP address of the destination. The Format of an IP Address T… Read More

0 comments:

Post a Comment