Facebook

Friday 12 September 2014

Kocha wa timu ya taifa Ureno;Bento atimuliwa,Scolar akamata mikoba.

Paulo Bento amefukuzwa kazi kwenye timu ya
taifa ya Ureno baada ya mwanzo wa mbaya
kwenye michuano ya kugombea nafasi ya
kushiriki michuano ya Euro 2016. Luis Scoral
anapewa nafasi ya kumrithi.

0 comments:

Post a Comment