Facebook

Friday 5 September 2014

HATIMAYE KIONGOZI WA AL SHABAB AUAWA

Aliyekua kiongozi mkuu wa Alshabab Ahmed Abdi Godane ameripotiwa kuuawa!!

Habari kutoka katika idara kuu ya ulinzi ya marekani PENTAGONI imesema kua kuuawa kwa kiongozi huyo mwanzilishi wa kikundi ambacho kimekua mwiba mkali na tishio kwa mataifa ya Afrika mashariki  pamoja na Usalama wa taifa la Somalia ni moja ya hatua za mafanikio katika ukanda huo.

Katibu wa Pentagoni Nchini Marekani Rear Admiral Jonh Kurby ameasema Godane aliuawa kutokana na Mashambulio yaliyo fanywa na jeshi la Marekani Siku ya Juma tatu. Ameyasema hayo alipokua akitoa taarifa ya riport kamili kuhusu matokeo ya Shambulio hilo.

Al-shabab hawajatoa kauli yoyote baada ya habari hiyo ya Pentagon. Kama tulivo report awali picha za Godane hazijawai kuonekana!!  Kutokana na hali ya usili mkubwa inayofa nywa na kundi hlo hta ivo ntaandaa makala maalum kuelezea chimbuko la Al-shabab na Makundi mengine ya kigaidi kama IS(Isis) n.k!

Imeandaliwa na.......

      Peter Bulimbe (BantuTz Admin)

0 comments:

Post a Comment