Facebook

Saturday 13 September 2014

Kanisa kubwa la TB Joshua laporomoka Lagos-Nigeria

Habari zilizotufikia hivi Punde kutoka Lagos-Nigeria ni kwamba kanisa la TB Joshua laporomoka.Kanisa hilo lenye ghorofa sita limeporomoka huku chanzo chake hadi hivi sasa hakijajulikana. Inasadikiwa maelfu ya watu wamefia humo humo ndani.

BantuTz tumeipata taarifa hii hivi punde.Tutakuletea taarifa kamili kuhusiana na tukio hili endelea kutembelea www.bantutz.com.

0 comments:

Post a Comment