Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
imetangaza hatua mpya za kupambana na
ugonjwa wa Ebola wiki 3 baada ya ugonjwa
huo kuwauwa watu 32 miongoni mwa 59
waliombukizwa na virusi hivyo.Waziri wa Afya
nchini humo amesema kituo cha dharura cha
kuchunguza virusi vya Ebola kimewekwa
jimboni Equateur,ambako kamati ya pamoja
ya serikali,shirika la afya ulimwenguni WHO,
shirika la UNICEF ,na lile la madaktari
wasiokuwa na mipaka MSF,kuwahudumia
wagonjwa.
Monday, 8 September 2014
Congo watangaza hatua mpya za kupambana na Ebola.
Related Posts:
Kundi la P-SQUARE lasambaratika ....Je!!! unakijua chanzo.....soma hapa full stor.......!!!!!! Ni siku chache tu zimepita toka Paul Okoye wa kundi la P-Square afanye harusi ya kimila na mke wake Anita Isama huko Nigeria, lakini baada ya wote wawili (Peter & Paul) kukamilisha majukumu ya ndoa zao, kuna… Read More
Kali ya Mwaka.....waumini Nchini Kenya wasafisha lami kwa kuideki.................fuatilia hapa kioja hiki............................ Wakazi wa jiji la Eldoret nchini Kenya wamemfanya kila anayeliona hili kustaajabishwa na kutaka kujua chanzo cha wao kufanya hivi baada ya kujitolea kupiga deki barabara ya lami ya Oginga Odinga… Read More
Baada ya manusura kutokuonekana,ndugu wapambana na Polisi,korea kusini....soma hapa...... Ndugu wa baadhi ya waathiriwa 250 wa ajali ya Ferry nchini Korea Kusini ambao bado hawajapatikana, wamekabiliana na polisi. ndugu hao wanalalamikia kile wanachosema ni kujikokota kwa waokozi … Read More
Wasichana wachache waliotekwa na Boko Haram waachiwa huru..Nigeria........soma hapa....... Mwalimu mkuu wa shule ya Nigeria ambako wasichana zaidi ya 100 walitekwa nyara Jumatatu, ameomba wakuu wa Nigeria wafanye jitihada zaidi kuwakomboa wasichana hao. Piya al… Read More
Hii ndio Orodha ya matajiri waliofanikiwa kutokana na Biashara ya mtandao {Network marketing}........fuatilia hapa.......... Rank ya Dunia Jina Kampuni Kipato/mwezi kipato/mwaka 1 Holton Buggs OrganoGold $1,200,000 $14,400,000 2 Angela Liew and Ryan Ho NuSkin $1,100,000 $13,200,000 3 Dexter & Birdie Yager Amway $1,000,000 $12,000,000 … Read More
0 comments:
Post a Comment