Facebook

Monday 15 September 2014

Mfanyabiashara maarufu afariki kwa kuzidiwa na Penzi.

Mfanyabiashara wa Nigeria mume wa wake
sita amefariki dunia baada ya kubakwa na
wake zake watano baada ya kilichodaiwa ni
wivu wa mapenzi. Walimvamia akiwa yupo
kitandani na mke wake wake mdogo. Wake
wawili wa mwanaume huyo wako chini ya
ulinzi.

0 comments:

Post a Comment