Facebook

Friday 12 September 2014

Mkazi mmoja wa ajitundika na kujinyonga Ilemela-Mwanza.

Mwanaume mmoja mkazi wa
Kiseke, Ilemela jijini Mwanza
amekutwa amekufa baada ya
kujinyonga  kwa  kamba juu ya mti
huku mwili  wake ukiwa
umeharibika vibaya na kuvuja
maji….

Inakadiriwa kuwa mtu  huyo
alijinyonga siku tatu zilizopita na
chanzo cha kifo hicho bado
hakijafahamika kutokana  na  mtu
huyo kutoaacha ujumbe  wowote
huku wakazi wa eneo hilo
wakishindwa  kumtambua vizuri
kutokana  na mwili  wake
kuharibika.
Kutokana na hali  hiyo, maafisa wa
jeshi la  polisi waliokuwepo eneo
la  tukio waliamuru  mwili huo
uzikwe baada ya uchunguzi wa
awali wa daktari aliyekuwepo
eneo la  tukio

0 comments:

Post a Comment