Facebook

Friday 19 September 2014

LUIS VAN GAAL "LAZIMA MUWEZE KUZUNGUMZA KIINGEREZA VIZURI"

-Hayo ni maneno aliyo yazungumza Manager
wa Man United LOUIS VAN GAAL akiwataka
wachezaji wake wapya alio wasajili katika
dirisha lililofungwa juzi waweze kuzungumza
kiingereza vizuri ili iweze kuwasaidia vizuri
katika kazi yao pindi wawapo uwanjani.
Anasema kwamba hili ni tatizo kubwa sana
katika timu timu inakosa mawasiliano na
hatimaye maamuzi ya haraka
yanakosekana,Akamtolea mfano David De Gea
alipowasili kwa mara ya kwanza Manchester
United alipata shida sana katika msimu wa
kwanza kutokana na tatizo hili,anamuelezea
tena Falcao anasema kwamba huyu ndiyo
huwa anakaa kimya kabisa pindi lugha ya
kiingereza ikizungumza yaani yeye awezi kuzungumza vizuri ila watafahamu
tu.

Wachezaji walioambiwa waanze mazoezi
haya ya kujifunza kiingereza ni hawa-
1.Angel Di Maria
2.Marcos Rojo
3.Radamel Falcao
4.Anders Herrera

Na mwalimu wao mkuu atakuwa WAYNE
MARK ROONEY

0 comments:

Post a Comment