Facebook

Friday 5 September 2014

Tamasha la Fiesta Musoma lahairishwa baada ya Ajali Mbaya ya mabasi.

Tamasha la Fiesta lililokua
lifanyike leo hapa Musoma limeahirishwa
kutokana na ajali kubwa ya magari
yakiwemo Mabasi mawili yaliyogongana uso
kwa uso na gari jingine dogo kutumbukia
mtoni eneo la Sabasaba ambapo taarifa zisizo
rasmi ni zaidi ya 60 waliopoteza maisha,
Wasanii pamoja na wadau wengine
wanaungana muda mfupi ujao kwenda
hospitali na kutoa chochote kwa hawa ndugu
zetu waliofiwa na waliojeruhiwa.

Kama haujaisoma habari kamili kuhusiana na Ajali hiyo isome hapa:-AJALI YA MABASI MUSOMA

0 comments:

Post a Comment