Facebook

Monday 8 September 2014

Jerry Muro apata ulaji Yanga SC.

Msemaji wa Yanga, Baraka Kizuguto,
ameondolewa kwenye nafasi hiyo na nafasi
akapewa Jerry Muro mtangazaji wa zamani wa
ITV na TBC1.
Habari kutoka ndani ya klabu hiyo zinasema
kuwa uamuzi huo wa Yanga ulitolewa katika
kikao kilichofanyika jana Jumapili ambapo sasa
Kizuguto atakuwa Meneja wa timu.

0 comments:

Post a Comment