Facebook

Friday 12 September 2014

Diego Costa mchezaji bora Ligi kuu Uingereza.

Diego Costa ameshinda tuzo ya mchezaji bora
Premier League kwa mwezi August kwa
kuwapiku Cesc Fabregas (Chelsea), Nathan
Dyer (Swansea),Gylfi Sigurdsson (Swansea) na
Andreas Weimann (Aston Villa).
Mourinho ambaye ndiye anayekinoa kikosi
cha Chelsea amekosa tuzo kama hiyo kwa
upande wa makocha na aliyechukua tuzo hiyo
ni meneja wa Swansea City Garry Monk: kwa
upande wa mameneja wengine waliokua
wakiwania tuzo hiyo ni Paul Lambert (Aston
Villa) na Mark Hughes (Stoke)

0 comments:

Post a Comment