Facebook

Sunday 14 September 2014

BRELA yapunguza muda wa kufanya kazi kuhimiza uanzishwaji wa makampuni nchini.

Usajili wa jina la Biashara nchini
umepunguzwa kuwa masaa nane (8) toka siku
saba (7) kama zilivyokuwa awali katika taasisi
ya BRELA. CEO Frank Kanyusi amedai hapo
jana kuwa hii ni moja ya njia ya kuhamasisha
uuaji na uanzishwaji wa makampuni.

0 comments:

Post a Comment