Facebook

Thursday 11 September 2014

Binti alazimisha penzi kwa kumshikia Bastola mwanaume.

Marekani: Binti (25) akamatwa kwa kosa la
kumlazimisha kijana (33) kufanya naye
mapenzi akiwa kamshikia bastoka kwenye gari
lake baada ya kijana huyo kuomba lift.
Inasemekana huyo binti alikuwa na
mwanamke mwingine ambaye walishirikiana
katika kumbaka huyo kijana.

0 comments:

Post a Comment