Facebook

Thursday 11 September 2014

Kuna mgomo mkubwa wa Madereva kituo cha Mabasi Ubungo,Hakuna basi lililoondoka hadi hivi sasa.

Kuna mgomo Mkubwa wa madereva
Ubungo Bus Terminal, huu unafuatia kikao
chao SIRI jana kilichowakitanisha na Sumatra
pamoja na Traffic makao makuu.
Hadi sasa hatma ya abiria bado haijajulikana
na hakuna dereva aliye tayari kuzungumzia
nini kilichosababisha huo mgomo.

Lakini BantuTz ilipofuatilia imebaini kuwa.............................
Madereva hawakukubaliana na amri ya
kutembea na vyeti vyao walivyopata baada ya
kuhitimu mafunzo ya udereva wa magari ya
abiria.
Ila sasa ukaguzi umeanza, na kuna uwezekano
gari nyingi zitachelewa kutoka kutokana na
ukaguzi huo

Tutaendelea kujuzana kinachoendelea.....Tembelea www.bantutz.com.

0 comments:

Post a Comment