SAMIR Nasri anasema timu zitazotoa upinzani
kwa Manchester City msimu huu ni Chelsea na
Manchester United huku akisisitiza kwamba
Liverpool watapata taabu kutokana na ushiriki
wao wa mashindano mengi. - Una maoni gani
juu ya kauli hii ya Nasri
Saturday, 6 September 2014
Samir Nasri aziogopa Chelsea na Manchester United msimu huu.
Related Posts:
Origi aisaidia Ubeligiji kusonga mbele Kinda aliyezaliwa Kenya na kuchukua uraiya wa Ubeligiji Divock Origi alifungia Ubeligiji bao la pekee na la ushindi dhidi ya Urusi katika mechi yao ya pili ya kundi H. Bao hilo la dakika za mejeruhi za mechi… Read More
Algeria yailaza Korea Kusini 4-2 Algeria ambayo ilikuwa imeshindwa 2-1 na Ubeljiji katika mechi yao ya ufunguzi katika kundi H iliingia katika mechi hii ikifahamu fika endapo itashindwa basi haitakuwa na budi kuweka tayari mipango ya kurejea nyum… Read More
Uholanzi kumenyana na Mexico Uholanzi kuvaana na Mexico mkondo wa pili Uholanzi ilimaliza katika nafasi ya kwanza kwenye kundi B kufuatia ushindi wa mabao 2-0 katika mechi yao ya mwisho ya makundi. Mabao ya Uholanzi yaliyofungwa na Leroy Fern na… Read More
Ureno yatoka sare ya 2-2 na Marekani Bao la kusawazisha la Silvestre Varela Ureno ambayo ilikuwa na matumaini ya kushinda, ilienda sare ya 2-2 na… Read More
Ghana yakana kupanga mechi Brazil Rais wa shirikisho la soka nchini Ghana , amekanusha madai kuwa shrikisho hilo lilikubali timu ya Taifa kucheza katika mechi ambazo tim… Read More
0 comments:
Post a Comment