Facebook

Monday 8 September 2014

BEN POL ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WATOTO WODINI MUHIMBILI

Leo ni siku ya kuzaliwa  ya nyota wa Bongo fleva,Ben
Pol na amechagua kuisherehekea siku hiyo
ndani ya hospitali ya taifa ya Muhimbili wodi
ya watoto kitengo cha mifupa,
Ben Pol ameambatana na wasanii wenzake
Linex, Bob jr na Mwasiti, pamoja na namba
kubwa ya wadau mbalimbali wamesapoti
jambo hili, na leo Ben Pol amekabidhi zawadi
mbalimbali kwa watoto.

0 comments:

Post a Comment