Facebook

Thursday 11 September 2014

Wanafunzi 12,000 wakosa nafasi Vyuo vikuu,TCU yawapa nafasi ya Pili.

Wanafunzi 12, 000 wakosa nafasi
za vyuo vikuu, TCU yawapa nafasi ya pili
kuchagua nafasi za masomo (course) ambazo bado ziko wazi na
wameshauriwa kutochagua "course" zenye
ushindani mwingi maana hii itasababisha
wengine kukosa.

Kwa wale wanafunzi wa walioomba kwa
kupitia njia ya Diploma, wameambiwa
waendelee kusubiri ndani ya siku 3 na majibu
yao yatatolewa.

Nafasi za vyuo Tanzania ni nyingi kuliko
wanafunzi waliiomba, hivyo wameshauriwa
kuzingatia vigezo kama vinaruhusu na pia
wachague "course" zisizo na ushindani mkubwa.

Endelea kutembelea www.bantutz.com tutakujuza kila kitakachokuwa kinajiri

0 comments:

Post a Comment