Facebook

Tuesday 16 September 2014

Kutana na mwanaume aliyetembelea mbinguni mara nne na kuchora ramani

Anaitwa Sibusiso Mthembu, mwenye
miaka 64, anaetokea south Afrika kwa
zulu-natatal anasema ni kweli ameenda
mbinguni mara 4.Nani ajuaye kama kweli
alisha wahi kwenda huko,lakini
inawezekana ikawa kweli pia,mara ya
kwanza ilikuwa mwaka 1998 baaada ya
hapo ailienda pia mwaka 2004,2006 na
2008.

Yote hayo yalianza mwaka
1993,alipotembelewa na mtu mweupe(ina
wezekana malaika) na akamwambia
kwamba alikuwa anahitajika mbinguni.
Baada ya kutembea mbinguni alifanikiwa
kuchora ramani ya huko na kutuletea sisi
tusio na bahati hiyo ya kwenda
mbinguni,ili tuweze kuamini ambacho
ana kisema.

0 comments:

Post a Comment