Facebook

Monday 8 September 2014

Ajali nyingine ya basi yatokea hivi Punde Gairo-Morogoro.

Kwa habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba basi la abiria la Air Bus limepata ajali mbaya baada ya kutumbukia darajani,Gairo mkoani Morogoro.

Ajali huyo mbaya imetokea hivi punde maeneo ya Kiegeya Gairo, gari la abiria kutoka Dar Es Salaam lililokuwa likielekea Tabora limepata ajali mbaya kiasi kwamba watu karibia 48 wamepoteza maisha.Viongozi Mbali mbali wa Serikali wameshafika eneo la tukio.Kwakweli ni majonzi vilio.

Endelea kutembelea www.bantutz.com uweze kujua kila kitakachokuwa kinajiri kuhusiana na ajali hiyo.

0 comments:

Post a Comment