Facebook

Tuesday 9 September 2014

Maicon aondolewa timu ya taifa ya Brazil kwa kashfa ya "Ushoga"


Brazil ilicheza mechi ya kirafiki na Colombia kule Miami Florida, hapo jumamosi, ikaibuka na ushindi wa 1-0, kwa goli lililofungwa na mshambuliaji wa Neymar.

Hivi sasa Brazil inajiandaa kukipiga na Ecuador hapo Jumatano, Septemba 10.Lakini  beki mkongwe Douglas Maicon ameondolewa kikosini,na nafasi yake imechukuliwa na mchezaji chipukizi Fabinho.


Unajua kwa nini  Doglas Maicon amaeondolewa katika kikosi cha timu ya taifa ya Brazil?? 

Dunga kasema hivi...
"Leo{jana} hii ameondolewa katika kikosi cha Brazil.Nataka nimshukuru kwa huduma yake aliyoitoa kwa "Seleceo".Ni matatizo binafsi siwezi kuyaelezea na kujibu chochote na ntaomba wachezaji wasiulizwe kuhusu hili."

Maicon ameondolewa katika kikosi hicho na nafasi yake inachukuliwa na kinda,Fabinho ambaye alikuwa katika kikosi cha Umri Chini ya Miaka 21 cha Brazil na amefurahia taarifa hii kwa mujibu wa mtandao wa Reuters.



Lakini baada ya BantuTz kupata taarifa hii tuliamua kufuatilia kiundani kuhusiana na sababu zilizopelekea kuondolewa kwa beki mahiri Douglas Maicon katika kikosi hicho "Seleceo"


Kupitia mitandao mbalimbali ikiwemo twitter;BantuTz imeweza kubaini sababu kuu 3 zilizopelekea kondolewa kwa Maicon,33 huku Kocha wa Timu hiyo;Dunga akishindwa kutoa sababu na kuwazuia wachezaji nao kutozungumzia suala hilo.


Sababu kuu tatu za kuondolewa kwa Maicon katika kikosi hicho kutoka katika mitandao mbalimbali kama vile REUTERS,OLE DE BRASIL,TWITTER n.k zimemuhusisha yeye na mshambuliaji Nyota wa Corintians ya Brazil,Elias.Sabau kuu tatu nazo ni:-


 
1.Sababu ya kwanza,ni kukamatwa kwa Maicon akifanya mapenzi ya jinsia moja na mchezaji mwenzake ambaye pia ni mshambuliaji nyota wa Coronthias,Elias

 
2.Sababu ya pili;Douglas Maicon inasadikika alikutwa akijichua "masturbate" katika kopo la shampoo la beki David Luiz.


3.Sababu ya tatu na ya mwisho BantuTz imeitoa katika mtandao mmoja unaosifika kwa kufichua maovu nchini Brazil ujulikanao kama www.oledebrasil.com umemtuhumu Maicon kumpaka pilipili na vitu kama maziwa vinavyosadikika kuwa ni mbegu za uzazi za mwanaume katika sehemu ya haja kubwa ya Elias na asubuhi akamwambia maebakwa na watu wanne.
 

Hebu tuulizane,huyu Maicon hiyo yawezekana kuwa ni tabia yake kweli?
Na vipi kuhusu huyu mchezaji mwenzake Elias ?

Kama unatumia simu kutembelea site yetu,nenda chini kabisa ya site yetu,utakuta kuna sehemu imeandikwa "VIEW WEB VERSION" bofya,baada ya hapo utaiona site yetu katika muonekano mzuri kabisa.
Dondosha comment yako kupitia akaunti yako ya Facebook,twitter na Google.

Kwa hisanio ya Mitandao.
 
Imeandaliwa na....
                               Katemi Methsela 

0 comments:

Post a Comment