Facebook

Tuesday 9 September 2014

John Bocco aanza mazoezi

Captain John Bocco ameanza mazoezi kidogo
kidogo katika Gym ya kisasa ya Azam FC hapa
Chamazi - Azam Complex, Captain anaendelea
vizuri na jeraha lake alilolipata Kigali Rwanda
akiitumikia timu yake ya Azam FC. Hii ni leo
asbuhi!

0 comments:

Post a Comment