Facebook

Tuesday 9 September 2014

Nyangumi apatikana Mtwara.

Mzoga wa samaki aina ya nyangumi
Umepatikana katika pwani ya Bahari ya Hindi
Mkoani Mtwara na kisha kuvutwa
Kuelekea majini na wavuvi wa Kata ya
Msangamkuu. Mzoga huo una urefu wa
futi 48 na uzito unaokadiriwa kuwa zaidi
ya tani 30.

0 comments:

Post a Comment