Roberto Martinez: "Manchester United waligoma
kumruhusu Cleverley kuja Everton kwa sababu
wanahisi sisi ni tishio kwao, baada ya kumaliza
msimu uliopita juu yao."
Friday, 12 September 2014
Roberto Martinez afunguka sababu ya Manchester United kukataa kumuuza Tom Cleverley Everton.
Related Posts:
BantuTz MAGAZETINI:Soma kilichoandikwa katika kurasa za magazeti yote ya leo Jumatano,June 03 MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau wote wa Bantu waweze kusomana kupitia kurasa za magazeti mbalimbali nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma kupata habari nuhi… Read More
Jezi mpya za Manchester United zavuja mtandaoni. Imekuwa utamaduni wa klabu mbalimbali Ulaya kuzindua jezi mpya kila msimu ambapo jezi hizi huingia sokoni na kuuzwa kwa mashabiki wa klabu husika huku klabu hiyo ikijiingizia kipato ambacho husaidia kwenye uendeshaji… Read More
Man United yamuwinda Dani Alves. Kilabu ya Manchester United inaamini iko katika nafasi nzuri ya kumsajili Dani Alves kutoka Barcelona iwapo kocha Louis Van Gaal anataka kumsajili beki huyo wa kulia. Alves atakuwa hana mkataba mwishoni mwa msimu … Read More
Blatter kuchunguzwa na maafisa wa Marekani kutokana na tuhuma za rushwa. Imeripotiwa kuwa Raisi wa Fifa,Sepp Blatter anafanyiwa uchunguzi na maafisa wa marekani ili kuthibitisha tuhuma za rushwa zinazomkabili vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti. Taarifa hiyo inakuja baada ya Blatter kut… Read More
Maneno ya Blatter baada ya kujiuzulu. “Nilijiskia mkamilifu kwa kugombea tena kwenye uchaguzi wa FIFA nikiamini kwamba kilikua ni kitu muhimu kwa FIFA. Uchaguzi umeisha lakini changamoto za FIFA hazijaisha. Japokua nina madaraka kutoka kutoka kwa wanachaman… Read More
0 comments:
Post a Comment