Facebook

Thursday 11 September 2014

Class of 92 waibuka na Coca Cola.

Class of 92' wamekutana pamoja safari hii kukubali kufanya kazi na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola, na chupa za bidhaa hizo ziliandikwa majina ya magwiji hao.

Nyota wazamani wa Manchester United Phil Neville alipost picha za chupa za kampuni ya coca cola zenye majina ya nyota wa class 92 kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Class of 92 inaundwa Phil Neville, (Nicky) Butt, (Gary) Neville, (Paul) Scholes, (David) Beckham, (Ryan) Giggs, safari hii wamemuongeza kocha (Sir Alex) Ferguson kwenye Coke dili hilo na kampuni ya soda.

Sir Alex Ferguson ndio mkufunzi na
mtengenezaji wa hiyo class 92.

0 comments:

Post a Comment