Facebook

Friday 12 September 2014

Oscar hatiani kwa kuua bila kukusudia

Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini
Oscar Pistorius, amepatikana na hatia ya
kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp kwa
bahati mbaya
Akitoa uamuzi wake jaji Thokozile Masipaal
alisema kuwa mwanariadha huyo alimuua
Reeva kwa bahati mbaya alipofyatua risasi
kupitia kwa mlango wake wa choo akiw akatika
hali ua mshtuko akidhani kuwa jambazo
alikuwa amevamia nyumba yake.
Alisema kuwa upande wa mashitaka
umeshindwa kuthibitisha kuwa Pistorius alinuia
kumuua Steenkamp nw akutekeleza mauaji
hayo kwa kusudi.
Pia alipatikana na hatia ya kosa la kutumia
silaha yake visivyo alipokwenda mgahawani

0 comments:

Post a Comment