Ni utaratibu ambao utakua unaendelea kila siku.Tutakuwa tunakuletea habari zilizoandikwa katika magazeti mbalimbali barani Ulaya.
Thursday, 21 August 2014
Kupitia BantuTz tunakuletea kile kilichoandikwa katika magazeti mbalimbali barani Ulaya kuhusiana na Usajili.
Related Posts:
Afungiwa mechi 3 kwa kumpiga mwamuzi. Mshambuliaji wa Zamalek Dominque da Sila amefungiwa na shirikisho la Soka la Afrika Caf kwa kumpiga mwamuzi. Tukio hilo lilitokea katika mechi ya Champions League kati ya Zamalek dhidi ya TP Mazembe tarehe 8 … Read More
UEFA yatangaza wachezaji watakaowania "Mchezaji bora wa Ulaya" UEFA Jana ilitoa Majina 10 ya Wagombea Tuzo yao ya Mchezaji Bora wa Mwaka na Mshindi atatangazwa hapo Agosti 28 wakati wa Droo ya Makundi ya UEFA CHAMPIONZ LIGI. Awali Majina ya Wachezaji 35 yalipigiwa Kura na hao 10 n… Read More
REAL MADRID TIMU "TAJIRI" DUNIANI - FORBES Klabu ya kandanda ya Real Madrid ya Spain imeongoza katika orodha ya Forbes ya timu zenye thamani zaidi duniani. Real Madrid, walioshinda Champions League mwezi Mei, ina thamani ya takriban dola BILIONI 3.44, kwa mujibu … Read More
Ujerumani yashika usukani kwenye viwango vya Ubora msimamo wa FIFA. Ujerumani imechukua namba moja katika msimamo wa Fifa kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 24. Mabingwa hao mara nne, wamechukua nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Spain. Argentina ni ya pi… Read More
Nahodha wa Ujerumani astaafu kucheza soka la kimataifa. Nahodha wa timu ya taifa ya Ujerumani Philipp Lahm amestaafu kucheza soka la kimataifa, baada ya kukiongoza kikosi chake na kushinda Kombe la Dunia nchini Brazil. Beki huyo wa Bayern Munich, ambaye pia anawez… Read More
0 comments:
Post a Comment