Facebook

Thursday, 21 August 2014

Ni tukio la kushangaza!! Nyanya yenye sura ya binadamu yapatikana Dumila-Morogoro.

Ni ajabu na kweli;
Leo hii huko Dumila eneo moja ali-maarifu kama Feri mkoani Morogoro imepatikana Nyanya kubwa iliyokomaa yenye sura ya binadamu.

Wananchi wa eneo hilo walitahamaki na kuanza kuishangaa nyanya hiyo huku wengine wakiihusisha na Imani za kishirikina.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment