Kenya imeanza kusajili wafanyakazi wa
serikali kwa njia za kielektroniki katika
jitihada za kuondoa "wafanyakazi hewa"
wanaolipwa mshahara na serikali.
Wafanyakazi watakaoshindwa kujisajili katika
wiki mbili zijazo hawatalipwa mshahara,
imesema taarifa ya serikali.
Serikali inashuku kuwa maelfu ya watu
wanaendelea kulipwa mishahara licha ya
kuwa hawapo kazini.
Rais Uhuru Kenyatta alikuwa mtu wa kwanza
kujisajili, huku akitoa ahadi ya kupambana na
ufisadi. Mwandishi wa BBC Wanyama
Chebusiri anasema serikali inahisi mishahara
ya watu inaendelea kulipwa katika akaunti za
benki hata baada ya mtu kufariki au kuacha
kazi.
Monday, 1 September 2014
KENYA KUPAMBANA NA WAFANYAKAZI "HEWA"
Related Posts:
Israel yasaidia Nigeria kuwatafuta wasichana Jeshi la Nigeria linafanya kila juhudi kuwatafuta wasichana hao ingawa limelaumiwa kwa kujikokota Kikosi cha Israel cha kukabiliana na ugaidi kinatarajiwa kujiunga na juhudi za kuwatafuta zaidi ya wasichana 2… Read More
Mamia wasambaza ujumbe "Turudishieni wasichana wetu" Kampeni ya mtandao kushinikiza kuachiliwa kwa wasichana takriban 200 wa shule nchini Nigeria waliotekwa na wapiganaji wa Boko Haram sasa imeenea kutoka Niger… Read More
Boko Haram wawaaonyesha wasichana waliotekwa na kutoa tamko lao.. Wasichana ambao kundi la Boko Haram liliwateka nyara Kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu wapiganaji wa kundi hilo wanaozuiliwa n… Read More
Kumbe 'Jeshi lilipuuza onyo la Boko Haram' Maandamano nchini Nigeria kutaka wasichana waliotekwa nyara kuachiliwa Jeshi la Nigeria lilipata onyo la mapema kuhusu utekaji nyara wa wasichana 270, laki… Read More
Gavana:Nina "taarifa" walipo wasichana.... Gavana wa jimbo la Borno nchini Nigeria,Kashim Shettima amesema ana taarifa za mahali walipo wasichana wanafunzi wapatao 200 waliotekwa na kundi la Kiislam la Boko Haram. Gavana Kashim Shettima amesema ame… Read More
0 comments:
Post a Comment