Arsene Wenger ameonekana akipanda ndege
kutoka London kwenda Rome, Italy. Meneja
huyo amekubali kuwa meneja wa timu
itakayocheza mechi maalum ya amani, katika
mchezo wa soka wa unaojumuisha imani
mbalimbali ulioandaliwa na Papa Francis na
nahodha wa zamani wa Argentina Javier
Zanetti.
Monday, 1 September 2014
Wenger apanda ndege kuelekea Roma,Italy
Related Posts:
MKOSI WA GUTTMAN BADO WAIANDAMA BENFICA YAPOTEZA FAINALI YA 8.. ...Klabu ya Benfica ya Ureno jana usiku ilijikuta ikipoteza fainali yake ya 8 katika mashindano ya Ulaya baada ya kufungwa penati 4-2 na Sevilla ya Hispania katika fainali ya ligi ya Europa katika dimba la Juventus ji… Read More
FAINALI 2014 DFB-Pokal: BAYERN Wachukua Ubingwa dhidi ya Dortmund dakika za lala salama Magoli ya Arjen Robben na Thomas Muller ndani ya Kipindi cha Pili cha Dakika za Nyongeza 30, baada Mechi kumalizika 0-0, zimewapa Bayen Munich Kombe la Ujerumani, 2014 DFB-Pokal, kwa kuifunga Borussia Dortmund Bao … Read More
Uholanzi 1-1 Ecuador, RVP atupia... Robin van Persie alifunga Bao safi sana na kuisaidia Netherlands kutoka Sare 1-1 na Ecuador kwenye Mechi ya Kirafiki iliyochezwa huko Holland Ecuador ndio walitangulia kufunga kupitia Jefferson Montero na Van Persie kusaw… Read More
Arsenal mabingwa wa FA 2014 Timu ya Arsenal ya England imetwaa kombe la FA baada ya kubamiza Hull City kwa jumla ya magoli 3 – 2 kwenye fainali iliyofanyika katika uwanja wa W… Read More
Atletico Madrid Mabingwa wa La Liga 2014 Wachezaji wa Atletico Madrid wakishangilia goli Atletico Madrid imenyakua kombe la ligi kuu ya Hispania La liga baada ya kutoka s… Read More
0 comments:
Post a Comment