Milipuko miwili mikubwa imetokea nchini Nigeria katika mji wa Jos.
Milipuko hiyo imetokea katika soko ambalo lina
shughuli nyingi na ambalo lilikuwa na msongamano wa watu eneo la Kati
mwa Nigeria.kuna hofu ya watu wengi kujeruhiwa hasa kwa kuwa soko hilo lilikuwa na idadi kubwa ya watu.
Haijulikani kilichosababisha milipuko hiyo mjini Jos, mji ambao umeshuhudia mashambulizi makali kati ya wakristo na waisilamu.
Kundi la Boko Haram, pia limekuwa likifanya mashambulizi katika mji huo.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kujua kitakahojiri huko Nigeria baada ya milipuko hiyo.Utapa ripoti kamili kuhusiana na milipuko hiyo hivi punde
0 comments:
Post a Comment