Facebook

Saturday, 17 May 2014

Mwana FA alalamikia account fake : nisaidieni kumrepoti atuondolee giza



Mwana FA mzee wa hit mpya "mfalme" amekasirishwa na kuwepo kwa account fake ya twitter inayotumia jina lake MWANAFA_NEW na kuomba wadau kumripoti ili kumuondolea giza
 
Endelea kutembelea katemimethse.blogspot.com kupata habari mbalimbali zinazowahusu wasanii 

0 comments:

Post a Comment