Facebook

Monday 19 May 2014

Picha,Mtindo Mpya Wa Nywele Wa Mike Sonko Katika Kumpa Ushirikiano Rais Uhuru Kenyatta.

sonko3

Tunapozungumzia fashion ya mwanasiasa au kiongozi wa raia sehemu yeyote duniani mara nyingi tunatazama mavazi na muonekano wa heshima mbele za watu. Kwa Seneta wa Nairobi Mike Sonko hio ameweza kufanya na kuongeza swaga zaidi kwenye muonekano wake. Hii sio mara ya kwanza unaona na kusikia Sonko amefanya jambo la kushangaza watu kwa muonekano wake, wiki iliyopita alivaa jeans iliyochanika chanika kwenye shughuli ya kisiasa iliyomuhusisha rais wa Kenya Uhuru Kenyatta. [#Fahamu Sammisago.com]
Wiki hii katika kuonyesha ushirikiano na kumuunga mkono Rais Uhuru na Ruto, Sonko ameandika maneno haya kichwani kuhusu kesi inayoendelea kwenye Mahakama ya Kimataifa ya ICC No 2 ICC’, ‘Uhuruto not guilty’ and ‘Peace”


Endelea kutem,belea katemimethsela.blogspot.com uweze kujua vituko mbalimbali vinavyofanywa na Seneta wa Nairobi Mike Sonko

0 comments:

Post a Comment