Facebook

Wednesday 14 May 2014

Soma alichokiandika Martini Kadinda kuhusiana na Ugomvi wa Wema na Kajala....!!!


Wema & Kajala enzi zao
Baada ya mambo na thuhuma juu ya Kajala kuwa nyingi, matusi kuongezega na watu wengi  wengine kuanza kuhusishwa kwenye so called beef la Wema na Kajala huko Instagram, hatimaye Manger wa Wema ame amua kufunguka kama ifuatavyo.

0 comments:

Post a Comment