Facebook

Wednesday, 14 May 2014

TANGAZO:MAJINA YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA - 2014

  • AWAMU YA KWANZA; VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI.
  • AWAMU YA PILI; VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 15 MEI 2014 KUANZIA SAA KUMI (10) JIONI.
  • KIJANA YEYOTE MWENYE ULEMAVU UNAOONEKANA ARIPOTI KATIKA KAMBI YA MAFUNZO YA RUVU JKT (832 KIKOSI CHA JESHI).
  • VIJANA WOTE WANATAKIWA KUWA NA VYETI VYA KUMALIZA KIDATO CHA SITA ( LEAVING CERTIFICATE).
  • INASISITIZWA VIJANA WARIPOTI KWENYE MAKAMBI WALIOPANGIWA NA SIO KUJA MAKAO MAKUU YA JKT. 
  • IMETOLEWA NA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA.
Leo Alhamisi tarehe  08 Mei 2014 07:26.

- See more at: http://jijimwanza.blogspot.com/2014/05/tangazo-la-kujiunga-na-jeshi-la-kujenga.html#sthash.oAFS4SPw.dpuf

Zifuatazo ni kambi za JKT watakazokwenda vijana waliohitimu kidato cha sita mwaka huu mwezi wa Mei.

AWAMU YA KWANZA
Vijana 20,000 wataripoti kwenye kambi za mafunzo ya JKT kuanzia tarehe 1 JUNI 2014 na kuanza rasmi mafunzo yao tarehe 08 JUNI 2014 na kumaliza tarehe 04 SEPTEMBA 2014

AWAMU YA PILI
Vijana 14450  wataripoti kwenye kambi za mafunzo ya JKT kuanzia tarehe 11 SEPTEMBA 2014 na kuanza rasmi mafunzo yao tarehe 18 SEPTEMBA 2014  na kumaliza mafunzo yao Tarehe 17 Desemba 2014

Kijana yeyote mwenye ulemavu unaoonekana ataripoti kwenye kambi ya JKT RUVU (832 KJ)

Vijana wanatakiwa kuwa na vyeti vya kumaliza kidato cha sita (Advanced level Living Certificate)

Inasisitizwa vijana waripoti kwenye kambi walizopangiwa na sio kwenda makao makuu ya JKT

Majina ya vijana 20,000 wa awamu ya kwanza watakaojiunga na kambi za JKT kama ilivyopangwa kwa mujibu wa sheria haya hapa chini 
>Bofya hapa chini kufungua majina ya vijana hao kulingana na kambi walizopangiwa

MAKUTUPORA-DODOMA

BULOMBORA-KIGOMA

JKT RWAMKOMA-MUSOMA 

JKT MAFINGA-IRINGA

JKT RUVU PWANI

JKT MTABILA-KIGOMA

JKT MLALE-SONGEA

JKT MARAMBA-TANGA 

JKT MGAMBO-TANGA

JKT OLJORO-ARUSHA

kama hukuliona jina lako hakikisha kwa kufungua link zifuatazo....

Maswayetu.blogspot.com 

jkt.com

Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kupata habari mbalimbali kwa wakati muafaka na ambazo ni muhimu na hauzipati sehemu nyingine..Like page yetu facebook kwa kubofya hapa katemimethsela.blogspot.com/facebook

  • AWAMU YA KWANZA; VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI.
  • AWAMU YA PILI; VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 15 MEI 2014 KUANZIA SAA KUMI (10) JIONI.
  • KIJANA YEYOTE MWENYE ULEMAVU UNAOONEKANA ARIPOTI KATIKA KAMBI YA MAFUNZO YA RUVU JKT (832 KIKOSI CHA JESHI).
  • VIJANA WOTE WANATAKIWA KUWA NA VYETI VYA KUMALIZA KIDATO CHA SITA ( LEAVING CERTIFICATE).
  • INASISITIZWA VIJANA WARIPOTI KWENYE MAKAMBI WALIOPANGIWA NA SIO KUJA MAKAO MAKUU YA JKT. 
  • IMETOLEWA NA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA.
Leo Alhamisi tarehe  08 Mei 2014 07:26.

- See more at: http://jijimwanza.blogspot.com/2014/05/tangazo-la-kujiunga-na-jeshi-la-kujenga.html#sthash.oAFS4SPw.dpuf
  • AWAMU YA KWANZA; VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI.
  • AWAMU YA PILI; VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 15 MEI 2014 KUANZIA SAA KUMI (10) JIONI.
  • KIJANA YEYOTE MWENYE ULEMAVU UNAOONEKANA ARIPOTI KATIKA KAMBI YA MAFUNZO YA RUVU JKT (832 KIKOSI CHA JESHI).
  • VIJANA WOTE WANATAKIWA KUWA NA VYETI VYA KUMALIZA KIDATO CHA SITA ( LEAVING CERTIFICATE).
  • INASISITIZWA VIJANA WARIPOTI KWENYE MAKAMBI WALIOPANGIWA NA SIO KUJA MAKAO MAKUU YA JKT. 
  • IMETOLEWA NA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA.
Leo Alhamisi tarehe  08 Mei 2014 07:26.

- See more at: http://jijimwanza.blogspot.com/2014/05/tangazo-la-kujiunga-na-jeshi-la-kujenga.html#sthash.oAFS4SPw.dpuf
  • AWAMU YA KWANZA; VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI.
  • AWAMU YA PILI; VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 15 MEI 2014 KUANZIA SAA KUMI (10) JIONI.
  • KIJANA YEYOTE MWENYE ULEMAVU UNAOONEKANA ARIPOTI KATIKA KAMBI YA MAFUNZO YA RUVU JKT (832 KIKOSI CHA JESHI).
  • VIJANA WOTE WANATAKIWA KUWA NA VYETI VYA KUMALIZA KIDATO CHA SITA ( LEAVING CERTIFICATE).
  • INASISITIZWA VIJANA WARIPOTI KWENYE MAKAMBI WALIOPANGIWA NA SIO KUJA MAKAO MAKUU YA JKT. 
  • IMETOLEWA NA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA.
Leo Alhamisi tarehe  08 Mei 2014 07:26.

- See more at: http://jijimwanza.blogspot.com/2014/05/tangazo-la-kujiunga-na-jeshi-la-kujenga.html#sthash.oAFS4SPw.dpuf
  • AWAMU YA KWANZA; VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI.
  • AWAMU YA PILI; VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 15 MEI 2014 KUANZIA SAA KUMI (10) JIONI.
  • KIJANA YEYOTE MWENYE ULEMAVU UNAOONEKANA ARIPOTI KATIKA KAMBI YA MAFUNZO YA RUVU JKT (832 KIKOSI CHA JESHI).
  • VIJANA WOTE WANATAKIWA KUWA NA VYETI VYA KUMALIZA KIDATO CHA SITA ( LEAVING CERTIFICATE).
  • INASISITIZWA VIJANA WARIPOTI KWENYE MAKAMBI WALIOPANGIWA NA SIO KUJA MAKAO MAKUU YA JKT. 
  • IMETOLEWA NA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA.
Leo Alhamisi tarehe  08 Mei 2014 07:26.

- See more at: http://jijimwanza.blogspot.com/2014/05/tangazo-la-kujiunga-na-jeshi-la-kujenga.html#sthash.oAFS4SPw.dpuf
  • AWAMU YA KWANZA; VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI.
  • AWAMU YA PILI; VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 15 MEI 2014 KUANZIA SAA KUMI (10) JIONI.
  • KIJANA YEYOTE MWENYE ULEMAVU UNAOONEKANA ARIPOTI KATIKA KAMBI YA MAFUNZO YA RUVU JKT (832 KIKOSI CHA JESHI).
  • VIJANA WOTE WANATAKIWA KUWA NA VYETI VYA KUMALIZA KIDATO CHA SITA ( LEAVING CERTIFICATE).
  • INASISITIZWA VIJANA WARIPOTI KWENYE MAKAMBI WALIOPANGIWA NA SIO KUJA MAKAO MAKUU YA JKT. 
  • IMETOLEWA NA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA.
Leo Alhamisi tarehe  08 Mei 2014 07:26.

- See more at: http://jijimwanza.blogspot.com/2014/05/tangazo-la-kujiunga-na-jeshi-la-kujenga.html#sthash.oAFS4SPw.dpuf

0 comments:

Post a Comment