Facebook

Monday, 12 May 2014

TUZO ZA WACHEZAJI BORA WA MSIMU 2013/2014 - MAN UNITED


> Tuzo ya Sir Matt Busby Mchezaji bora wa Mwaka - David de Gea
> Mchezaji bora wa mwaka (aliyependekezwa na wachezaji wenzake) - David de Gea
> Goli bora la msimu- Wayne Rooney vs West
Ham United tarehe 22/03/2014
> Tuzo ya Denzil Haroun (mchezaji bora wa timu ya akiba) - Saidy Janko
> Tuzo ya Jimmy Murphy ya mchezaji bora wa Academy -James Wilson
> Tuzo ya heshima ya klabu  - Ryan Giggs

0 comments:

Post a Comment