Vijana wawili leo huko Kijitonyama walikuwa kwenye pikipiki aina ya Boxer.Wakampora dada aliyekuwa akitembea kwa miguu akitoka benki ya Acces Bank walimfatilia nyuma nyuma walipofika maeneo ya Akachube Showrom wakampora,
kwa bahti kuna jamaa alikuwa na gari yake aina ya Toyota Carina ndipo akawasukuma kwenye mtaro na pikipiki yao wakaanguka nayo wakaanza kupigwa vibaya
Mpaka walivyofika askari ndo hali hiyo unayo iyona hapo ya kunusurika na kifo.
0 comments:
Post a Comment