Mwigizaji wa maarufu wa filamu wa nchini Marekani Angela Basset
anatarajia kuongoza filamu itayohusu maisha halisi ya aliyekuwa
mwanamuziki nguli duniani Witney Houston.
Kituo cha Televisheni cha Lifetime cha Marekani kimethibitisha kuwa
filamu hiyo itaelezea maisha ya Witney hadi kuibukia kwenye umaarufu
pamoja na mahusiano yake na aliyekuwa mume wake kwa kipindi hicho Bobby
Brown kuanzia mara ya kwanza walipokutana hadi kufunga ndoa.
Mwanamuziki Witney Houston alifariki dunia February mwaka 2012 akiwa
na umri wa miaka 48. Witney alikutwa amekufa chumbani kwake katika
hoteli jijini Los Angeles.
Angela Basset amecheza filamu nyingi zinazohusu maisha halisi ya watu
ambapo pia aliwahi kucheza filamu ya hayati Notorious BIG akiwa kama
mama yake na kutumia jina la Voletta Wallace.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kujua undani kuhusiana na filamu hiyo
Related Posts:
Taarifa rasmi kuhusu albamu mpya ya Michael Jackson.....................................
Ikiwa Imepita kama Mwezi mmoja toka
taarifa kuwa kuna album ya Mpya ya Michael Jackson inaandaliwa
itakayoitwa Xscape, Kwa sasa imetolewa taarifa rasmi kwamba album hiyo
ipo tayari na itaachiwa Mei 13, 2014
Album… Read More
Je !!! Unakijua alichokisema mpiga picha wa Diamond.........fuatilia hapa.....
"Siku zote napenda kujifunza vitu vipya,nisivyovifahm kuhakikisha navifahamu.na kwa kila hatua ya ufahamu ninayoipiga
sisahau kumkumbuka Diamond,mtu ambaye siku zote amekuwa akinitia moyo
na kuwa naweza ,kutonikat… Read More
Chuchu "Piga ua Lazima Ray atanioa !"................
LICHA ya hivi karibuni gazeti dada la
hili, Risasi kumnukuu mcheza filamu mahiri Vincent Kigosi ‘Ray’ akikana
kuwepo kwa mpango wa kumuoa mpenzi wake Chuchu Hans, dada huyo ambaye
pia ni msanii wa fani hiyo, ameibuka n… Read More
Masogange amtaja aliyempa mzigo 'Unga'....................
‘VIDEO
queen’ wa Kibongo, Agness Gerald, ‘Masogange’, amefunguka kuwa aliyempa
mzigo wa unga na akakamatwa nao nchini Afrika Kusini, alikuwa amevalia
kininja, hali iliyomfanya ashindwe kumtambua.Taarifa za uhakik… Read More
Mpoki Atua Aschaffenburg Ujerumani.....................
Frankfurt, Germany
Msanii
Maarufu nchini Tanzania Muarabu wa Dubai (a k a Mpoki) atua katika Jiji
la Frankfurt na kuelekea moja kwa moja katika Jiji la Maraha
Aschaffenburg ambapo atalala usiku mmoja na ku… Read More
0 comments:
Post a Comment