Aston Villa wamemsajili kiungo wa
Manchester United Tom Cleverley kwa mkopo
hadi mwisho wa msimu. Hata hivyo,
inafahamika kwamba United wana kigezo cha
kumchukua tena mwezi Januari, au Villa
ikamilishe uhamisho wake moja kwa moja
wakati huo. Mkataba wa Cleverley
unamalizika mwaka 2015. Mkataba huo
ulifikiwa katika siku ya mwisho ya dirisha la
usajili siku ya Jumatatu, na alikuwa akisubiri
kuidhinishwa na bodi ya Ligi Kuu ya England.
Tuesday, 2 September 2014
Cleverley ajiunga Aston Villa kwa mkopo.
Related Posts:
Memphis Depay afuzu vipimo vya afya Old Trafford.Memphis Depay amekamilisha vipimo vya afya Old Trafford siku ya jana Jumatatu. Kwa mujibu wa tovuti ya Man Utd, klabu hiyo sasa itashughulikia kukamilisha usajili wakati dirisha la usajili la kimataifa litakapofunguliwa mwezi… Read More
Schneiderlin mbioni kuondoka Southampton kwa dau la Paundi Milioni 25.KLABU ya Southampton inatarajia kutaka kitita cha paundi milioni 25 kwa ajili ya kiungo Morgan Schneiderlin mbaye anawindwa na klabu za Arsenal na Tottenham Hotspurs. Klabu hizo zinazotoka kaskazini mwa jiji la London, zote z… Read More
Xavi kuwaaga mashabiki wa Barcelona Alhamisi.KIUNGO mahiri wa kimataifa wa Hispania, Xavi anatarajia kutangaza uamuzi wake wa kuondoka Barcelona Alhamisi hii wakati akijiandaa kuhamia katika klabu ya Al Sadd ya Qatar. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 35 amekuwa akiitumik… Read More
SAFARI YA INZAGHI YANUKIA AC MILAN.VYOMBO vya habari nchini Italia, vimeripoti kuwa Silvio Berlusconi amethibitisha kuwa atamtimua meneja wa AC Milan Filippo Inzaghi mwishoni mwa msimu baada ya matokeo yasiyoridhisha. Berlusconi ambaye ndiye mmiliki wa timu hi… Read More
Niyonzima akubali kuongeza mkataba Yanga.Harouna Niyonzima amekubaliana kimsingi na Yanga kusaini mkataba mpya na club hiyo kwa muda wa miaka 2. Bado hajasaini makaratasi lakini makubaliano yameshafanyika kati ya pande mbili. … Read More
0 comments:
Post a Comment