Facebook

Tuesday, 2 September 2014

Van Persea akanusha taarifa za kufanyiwa upasuaji.

Robin Van Persie amekanusha taarifa za kuwa anahitajika kufanyiwa upasuaji   goti ambao ungemfanya akae nje ya uwanja kwa muda wa mwaka mmoja

Hivyo basi Van Persie hatofanyiwa
Upasuaji wa aina yoyote ile kwa sasa.

Hii itakuwa habari njema kwa timu ya Manchester United ili waweze kupindua wimbi la matokeo mabaya waliyokuwa wanayapata mara baada ya msimu kuanza.Huku nyota mbalimbali wakiwa wamejiunga na timu hiyo,akiwemo Angel Di Maria,Marcos Rojo,Daley Blind,Radamel Falcao,Ander Herrera na Luke Shaw.

Related Posts:

  • Hispania yaaga kombe la dunia Brazil. Kufuatia ushindi huu wa mabao 2-0 mikononi mwa Chile mabingwa watetezi wa kombe la dunia Uhispania sasa wamehakiki tikiti za ndege kurejea nyumbani pam… Read More
  • Rooney katika mgogoro mzito Brazil Wayne Rooney achezeshwe katika nafasi gani ? Njama dhidi ya Wayne Rooney yaweza kuhatarisha matarajio yao katika kombe la dunia. Frank Lampard ameonya. Uc… Read More
  • Marekani yaifumua Ghana 2-1 Marekani yalipiza kisasi cha kushindwa na Ghana 2-1katika kombe la dunia Bao la kichwa la John Brooks, katika dakika za mwisho za mechi ziliisaidia Marekani kuilaza Ghana kwa mabao mawili kwa moja, katika mchuan… Read More
  • Okocha amlaumu kocha wa Nigeria. Nahodha wa zamani wa Nigeria Jay Jay Okocha amemlaumu kocha Stephen Keshi kwa timu yake kushindwa kucheza vizuri katika mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia kundi F dhidi ya Iran siku ya Jumatatu. Timu hizo zilitok… Read More
  • Ghana yakana mgawanyiko kikosini Ghana ilicharazwa na Marekani mabao mawili kwa moja dhidi ya Marekani katika mechi yao ya kwanza Shirikisho la soka nchini Ghana, limekanusha ripoti za … Read More

0 comments:

Post a Comment