Serikali ipige marufuku makampuni ya kutengeneza Mabango kuweka mabango karibu na Barabara ya wekwe mbali na barabara mita 20 kutoka Barabara kuu hili limeanguka Round about ya Royal Oven njia ya kwenda Lugalo Golf course (Avacado)Na hii siyo mara yakwanza mabango kuanguka kunasiku pale katika ya seilender bridge na Kinondoni lilianguka uzuri kulikuwa katika mikoko
Monday, 19 May 2014
Bango la Matangazo Barabarani Laangukia Gari Round About Kawe
Serikali ipige marufuku makampuni ya kutengeneza Mabango kuweka mabango karibu na Barabara ya wekwe mbali na barabara mita 20 kutoka Barabara kuu hili limeanguka Round about ya Royal Oven njia ya kwenda Lugalo Golf course (Avacado)Na hii siyo mara yakwanza mabango kuanguka kunasiku pale katika ya seilender bridge na Kinondoni lilianguka uzuri kulikuwa katika mikoko
Related Posts:
Dr.Kigwangala autolea udenda Urais 2015 MBUNGE wa jimbo la Nzega Mkoani Tabora kupitia CCM, Hamis Kigwangala, ametanabaisha kuwa anatafakari kama anaweza kugombea Urais kwenye uchaguzi mkuu ujao kupitia chama cha mapinduzi CCM. Akijibu maswali ya waa… Read More
Mabinti Wajiuza Shil 2000 Tu Bustanini mkoani Tanga......Hi ni laana...... BAADHI ya wakazi wa jijini Tanga, wameomba uongozi wa Wilaya ya Tanga kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, kuweka mkakati endelevu, utakaodhibiti wimbi la vijana wa kike wanaojiuza miili yao nyakati za usiku kweny… Read More
Kikwete kuunda tume kuchunguza Operation tokemeza Ujangiri...... Rais Jakaya Kikwete ameunda Tume ya Uchunguzi, kuhusu vitendo vilivyotokana na Uendeshaji wa Operesheni Tokomeza.Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue ilisema, Rais ameunda Tume hiyo kwa mujibu w… Read More
UKAWA:Tutaitafuta Tanzania tunayoitaka nje ya Bunge Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wameapa kuendelea kudai mfumo wa Muungano wa serikali tatu nje ya Bunge la Katiba kwa nguvu zote, ikiwamo kufanya maandamano ya amani nchi nzima. Msimamo huo ulielezwa … Read More
Sheikh Ponda azidi kusota rumande......!!! Kesi inayomkabili kiongozi wa Taasisi ya Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda imeendelea kupigwa kalenda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mkoa wa Morogoro. Ilielezwa mahakamani hapo jana kuwa kesi hiyo hai… Read More
0 comments:
Post a Comment