Facebook

Monday, 12 May 2014

Chadema wakiri, wakati umefika wa kuwasamehe Zitto Kabwe na wenzake



CHADEMA sasa inapaswa kupitia upya na kufanya masahihisho. kwa maamuzi yote magumu yaliyo wahi kuchukuliwa na vikao vya chama hasa KAMATI KUU.kwakuwa imeweza kutengua msimamo wake na kuvunja serikali kivuli bungeni na kuunda serikali ya pamoja inayo wakilisha upinzani bungeni na kuvishirikisha,vyama vya NCCR na CUF.
Umefika wakati sasa kupitia upya yale maamuzi magumu na kuwa samehe na kuwa rudisha akina zito kabwe,dr kitilia mkumbo na samson mwigamba katka chama.kuwarudisha akina mtela mwampamba,juriana shonza na habibu mchange.
 Haiingii akilini kama unaweza shirikiana na CCM (B) Kwa undani eti ushinde kushirikiana na alie itwa anatumika na CCM. MBOWE,SI LAA NA WAJUMBE WOTE WA KAMATI KUU kwa pamoja au kwa kila mmoja kwa wakati wake amuweni kuruhusu fikira hii mpya kwenu.huku mkitafakali faida na hasala ktk hili

0 comments:

Post a Comment